.

.

.

.

Wednesday, March 6, 2013

MAVAZI YA KITENGE YANAVYOPENDEZESHA


  


Vazi la kitenge ndio vazi lililotawala kwa asilimia 90% siku ya Women's Celebration, mavazi hayo yalioshonwa kwa mitindo aina mbali mbali yaliwapendeza sana wageni waliohudhuria shughuli hiyo pale Diomond Jubilee, V.I.P Hall, march 3,2013.

MITINDO YA NYWELEMasuala ya Nywele nayo hayakuwa nyuma katika shughuli hiyo ya Women's Celebration ,Diamond Jubilee V.I.P hall, march 3,2013.

No comments:

Post a Comment